IQNA-Imetangazwa kuwa Jumanne hii, tarehe 9 Septemba 2025, kutafanyika mjadala wa kimataifa kwa njia ya mtandao kwa jina “Karne 15 za Kumfuata Mjumbe wa Nuru na Rehema.”
Habari ID: 3481193 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/07
IQNA-Kongamano la 30 la Kimataifa la Umoja kati ya Kiislamu limeanza asubuhi ya leo mjini Tehran huku maudhui kuu ikiwa ni udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.
Habari ID: 3470744 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/15